UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE.

UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI, AINA ZAKE, CHANZO, DALILI ZAKE NA TIBA YAKE ASILIA.


Bawasiri katika mzunguko wa tundu la njia ya haja kubwa

Ugonjwa huu wa bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa. Ugonjwa huu katika jamii hufahamika kwa majina tofauti tofauti hutegemea kabila na mahali.

Ugonjwa huu umekua ni ugonjwa hatari kutokana na tabia za wagonjwa kuficha kutokana na aibu ya tatizo lenyewe lilipo au kuhofia jamii kumtazama tofauti kwa sababu jamii nyingi hasa za afrika mashariki zinaamini kuwa ugonjwa huu ni mkosi mkubwa.

Kuna aina kuu mbili za bawasiri :
1. Bawasiri ya nje
2.Bawasiri ya ndani.
Bawasiri hii ya ndani ndio bawasiri mbaya kabisa kwa sababu ni vigumu mgonjwa kujitambua kua anatatizo na hii inatokana na tabia ya bawasiri yandani kutokua na maumivu wakati inaanza.

SABABU ZINAZOPELEKEA MTU KUPATA BAWASIRI

Ugonjwa huu wa bawasiri husababishwa na mambo yafuatayo;

(1) Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
(2) Tatizo sugu la kuharisha
(3) Ujauzito
(4) Uzito wa mwili kupita kiasi
(5) Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
(6) Kupata haja kubwa ngumu
(7) Kua na mgandamizo mkubwa tumboni.

Bawasiri iliyotokeza nje katika mzunguko wa tundu la njia ya haja kubwa

ATHARI ZA BAWASIRI
* Upungufu wa damu mwilini
* Kutokwa na kinyesi bila kijitambua
* kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
* kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
* kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
* Kupata tatizo la kisaikolojia

wa.me/255755162724

NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI

* Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
* kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
* Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
* Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.

AINA ZA BAWASIRI

{1}BAWASIRI YA NDANI
~hii hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili
~Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa
Aina hii ya bawasiri imegawanyika katika madaraja manne

DARAJA LA KWANZA ~Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pake pa kawaida.
DARAJA LA PILI ~hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kujisaidia
DARAJA LA TATU ~hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe
DARAJA LA NNE ~hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi

[2}BAWASIRI YA NNJE
~Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS

CHANZO CHA TATIZO LA BAWASIRI
~Ugonjwa huu wa bawasiri mpaka sasa chanzo chake hasa hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo na hukuweka katika hatari ya kupata tatizo hili
~KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
~TATIZO SUGU LA KUHARISHA
~UJAUZITO
~UZITO MKUBWA
~MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU
~KUPATA KINYESI KIGUMU KWA MUDA MREFU

DALILI ZA BAWASIRI
kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
kupata kinyesi chenye damu
kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA WA BAWASIRI
~ matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri, mara nyingi wagonjwa wa bawasiri hupatiwa tiba ya kukatwa kinyama na kushauriwa kuendelea na tiba ya vyakula Lakini tiba huwa haina matokeo mazuri kwasababu baada ya Muda tatizo hujirudia kutokana na kwamba hawajatibu chanzo cha tatizo hivyo tiba nzuri ya bawasiri ni kutumia dawa itakayotibu chanzo cha tatizo huku ukiendelea na tiba ya chakula, MFANO MZURI WA DAWA NI bawasiri fluid na bawasiri powder hizo zinatibu na kuondoa tatizo moja kwa moja kwa muda wa wiki mbili tu hata kama ulishawahi kufanyiwa upasuaji hivyo ni vizuri kutumia dawa hizo ili kumaliza tatizo pamoja na hayo ni
vyema ukazingatia mambo yafuatayo ili KUEPUKANA na ugonjwa wa bawasiri

ZINGATIA KANUNI YA CHAKULA BORA KWA KUPENDELEA KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA NA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA
KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GLASI SITA HADI 12 KWA SIKU
EPUKA KUTUMIA MUDA MREFU CHOONI

MADHARA YA BAWASIRI
~Ugonjwa wa bawasiri una madhara makubwa iwapo hautapatiwa tiba ya uhakika haya ni baadhi ya madhara ya bawasiri
KUPATA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
KUPATA TATIZO LA KUSHINDWA KUHIMILI KINYESI
HUPUNGUZA MORAL YA KUFANYA KAZI KUTOKANA NA MAUMIVU
HUATHIRI KISAIKOLOJIA
MWANAMKE HUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA
KUPATA KANSA YA YTUMBO

.✍ hayo ni mambo ya msingi sana kuyajua kabla ya kujua tiba

KWA MAHITAJI YA DAWA ASILI ILIYOKWISHAANDALIWA YENYE KUONDOSHA BAWASIRI MOJA KWA MOJA KWA UWEZO WA MWENYEZI MUNGU WASILIANA NAMI KWA MAWASILIANO YANGU HAPO CHINI

DAWA UTATUMIWA POPOTE ULIPO PIA DAWA UTAIPATA KWA BEI NAAFUU KABISA HUNA HAJA YA KUFANYIWA OPERESHENI YA BAWASIRI KWANI MARA NYINGI BAWASIRI HURUDI TENA PINDI INAPOFANYIWA OPERESHENI..

NB: Bawasiri humpata MTU yeyote katka umri wowote

wa.me/255755162724

Liwaya
Dar es salaam
Ilala-pangani

+255755162724
+255717541527

Karibuni..

Published by Pandex Herbal Natural

"Tunawasaidia wahanga wa magonjwa mbali mbali kwa kuwaelimisha juu ya magonjwa yao,matibabu kwa kutumia mimea tiba,vyakula na Ushauri"

Leave a comment

Design a site like this with WordPress.com
Get started