TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME,CHANZO NA TIBA YA TATIZO HILO. ▶ Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume limekuwa ni miongoni mwa matatizo yenye kuwasumbua wanaume wengi katika jamii zetu.Tatizo hili limepelekea kuvunjika kwa ndoa nyingi sana huku ikiamwacha mwanaume akiwa katika udhalili na unyonge wa hali ya juu. ▶Takwimu zinaonesha kuwa kati ya wanaumeContinue reading “TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME”

FAIDA ZA MDALISINI KIAFYA

MAAJABU YA MMEA AINA YA MDALASINI kiafya 🔭 Mdalasini ni kiungo ambacho kinapatikana kwenye magome ya miti ya mdalasini. Hutumika kwenye vyakula vitamu. Mdalasini hutambulika kwa rangi yake ya kahawia. FAIDA ZA MDALASINIKUREKEBISHA UWIANO WA SUKARI MWILINI. Iwapo mdalasini ukatumika kwenye chakula cha mtu mwenye kisukari inasaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini. Pia kwa waleContinue reading “FAIDA ZA MDALISINI KIAFYA”

UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS)

VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS)_* Nini maana ya vidonda vya tumbo?Ni vidonda vilivyo wazi ambavyo hutokea katika kuta za tumbo,sehemu ya juu ya utumbo mdogo au kwenye kuta za koromeo kutokana na bacteria waitwao H.pylori na asidi inayozalishwa kwenye kuta za tumbo.Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. NiContinue reading “UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS)”

UGONJWA WA UVIMBE KWENYE KIZAZI

FIBROID NI NINI? Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la huu ugonjwa hebu tega sikio.Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi. Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana kama ‘uterineContinue reading “UGONJWA WA UVIMBE KWENYE KIZAZI”

UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE.

UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI, AINA ZAKE, CHANZO, DALILI ZAKE NA TIBA YAKE ASILIA. Bawasiri katika mzunguko wa tundu la njia ya haja kubwa Ugonjwa huu wa bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa. Ugonjwa huu katika jamii hufahamika kwa majina tofauti tofauti hutegemea kabila naContinue reading “UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE.”

Design a site like this with WordPress.com
Get started