TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME,CHANZO NA TIBA YA TATIZO HILO.

▶ Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume limekuwa ni miongoni mwa matatizo yenye kuwasumbua wanaume wengi katika jamii zetu.Tatizo hili limepelekea kuvunjika kwa ndoa nyingi sana huku ikiamwacha mwanaume akiwa katika udhalili na unyonge wa hali ya juu.

▶Takwimu zinaonesha kuwa kati ya wanaume kumi(10) miongoni mwao saba(7) wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo hili linazidi kukua kwa kasi kubwa siku hadi siku huku wahanga wakiwa vijana wa watu wazima.Sasahivi si ajabu kumkuta kijana mwenye umri wa miaka 20 anasumbuliwa na tatizo hili katika jamii zetu.

ZIPO AINA KUU TATU (3) ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

1⃣ Manii (sperms) kukosa uwezo wa kutungisha mimba.

2⃣ Ukosefu wa hamu ya kufanya tendo la ndoa.Na ikitokea umepata hamu hata kidogo basishahawa zinawahi kutoka(yaani unawahi kufika kileleni).Na Wengine wanapata hamu ya tendo la ndoa lakini hawatoi shahawa.

3⃣Uume kutosimama ipasavyo (Erectile dysfunction )
▶ Uume kuwa legevu na kushindwa kufanya kazi yake iasavyo

CHANZO CHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa nguvu za kiume sio ugonjwa, bali ni kama ishara inayoonesha kwamba kuna baadhi ya viungo ndani ya mwili wa binadamu ambavyo vinahusika na suala zima la nguvu za kiume havifanyi kazi vizuri/ipasavyo. Baadhi ya hivyo viungo hivyo ni:⤵
▶Moyo
▶Ini
▶Figo
▶Ubongo
▶Mishipa
▶Tezi dume
▶Misuli
▶Neva n.k.

Inapotokea hitilafu katika viungo hivi muhimu vinapelekea moja kwa moja mtu kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Hivi ni baadhi ya vitu vinavyo sababisha viungo tulivyo taja hapo juu kutofanya kazi vizuri na baadae kusababisha matatizo mbali mbali ikiwemo vifo.
Kuwa makini na vitu vifuatavyo:

▶Uvutaji wa sigara, na utumiaji wa dawa za kulevya
▶Pombe (aina yeyote).
▶Masturbation (Kujichua/kupiga punyeto)
▶Kula vyakula vyenye kuharibu mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula (Digestive System). Huu mfumo ukiharibika unasababisha damu kutosafirishwa vizuri mwilini.
▶Uzito mkubwa/ kitambi
▶Tatizo la Kutokupata choo vizuri (Constipation)
▶Tatizo la Tezi dume
▶Matatizo ya moyo
▶Kisukari (Diabetes)
▶Stress(Msongo wa mawazo)
▶Pressure
▶Cholesterol
▶Hormonal imbalance
▶Kukaa kwa muda mrefu
▶Kutumia sana madawa yenye kemikali (Hospital).
▶ Bawasiri(Kuota kinyama sehemu ya haja kubwa.
▶ Ngiri

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

▶kukosa hamu ya tendo la ndoa
▶Kukosa pumzi
▶Uwezo wa kushindwa kurudia tendo la ndoa
▶Uume kusimama kwa ulegevu
▶Kuwahi kufika kieleni
▶Kuchelewa sana kufika kileleni
-Ukizidi kuchelewa mwenzako anapata maumivu makali sana na kuanza kujuta japo hatakwambia kwa sababu ni aibu kwake na wewe pia hutofurahia tendo la ndoa.
▶Kuchoka sana baada ya tendo au kujisikia kichefuchefu, wakati mwingine wengi hua wanajihiisi kutapika.

MADHARA YAKE

Kabla ya kuyaangalia baadhi ya madhara yanayotokana na upungufu wa nguvu za kiume, kuna kitu muhimu sana kwa wanandoa wanastahiki kukitambua. Mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana na aliumbwa na uwezo wakuweza kukojoa zaidi ya mara 5, endapo wewe utaweka sawa afya yako na kujuwa ni vitu gani unastahili kufahamu. Ili mwanamke akojoe kwa mshindo wa kwanza ni lazima uume wako uweze kusimama angalau dakika 5 – 10 ukiwa unachezesha uume wako kwenye mashavu ya uke.
Wanawake wanapenda sana kuchezewa kwenye mashavu ya uke kwa kutumia uume, siyo vinginevyo. Wanaume wengi wanashindwa kuwaridhisha wenzao kwasababu ya upungufu wa nguvu zao za kiume unawapelekea kutumia zingine nondo mbali mbali ili angalau waweze kuwaridhisha wenzao. Ukweli thabiti ni huu: endapo unakuwa na afya nzuri ya mfumo wa uzazi, utaweza kusimamisha uume wako na kumridhisha kiurahisi bila kutumia nguvu nyingi kwa kila mshindo.

Mfumo wako wa uzazi ukiwa haufanyi kazi vizuri, utapata madhara yafuatayo:⤵

▶Dharau
▶Kushindwa kumridhisha mwanamke. Hili tatizo linampelekea kutoka nje ya ndoa na baadae kuachika
▶Kushindwa kupata mtoto
▶Kushindwa kupata ladha kamili la tendo la ndoa
▶Kuchoka haraka wakati wa tendo la ndoa
▶Uume kusimama kwa ulegevu
▶Fujo kila kukicha. Shida hamzitatuwi kama watu wazima, na mara nyingi hamuelewani hata kidogo.
▶Kutoka nje ya ndoa (jinsia zote).

  • Ndoa kusambaratika, na kurandaranda kila sehemu. Unajishushia heshima mwenyewe bila kujitambua.
    ▶Uume kusinyaa na kupoteza ubora na ukakamavu

MATIBABU
▶ Baada ya kuwa mtu amepata tatizo hili kwanza anatakiwa kupima magonjwa yafuatayo ambayo husababisha upungufu wa nguvu za kiume ⤵

▶ Presha
▶ Kisukari
▶ Vidonda vya tumbo
▶ Bawasiri
▶ Ngiri
▶ Hormone nk.

Kisha tuletee majibu yako na tutakupatia dawa asili yenye uwezo mkubwa wa kuondosha kabisa matatizo ya nguvu za kiume na vyanzo vyake.


KWA MAHITAJI YA DAWA KWA MATATIZO YOTE YA NGUVU ZA KIUME KAMA TULIVYOTAJA HAPO JUU PIA KWA USHAURI WASILIANA NAMI KWA MAWASILIANO YAFUATAYO:⤵

DAWA UTATUMIWA POPOTE ULIPO NDANI NA NCHI JIRANI.
Waweza wasiliana nami Nutritionist Kilindila au

Dr.Liwaya Tanzania.

Whatsap/Call: 0755162724–0717541527

FAIDA ZA MDALISINI KIAFYA

MAAJABU YA MMEA AINA YA MDALASINI kiafya 🔭

Mdalasini ni kiungo ambacho kinapatikana kwenye magome ya miti ya mdalasini.

Hutumika kwenye vyakula vitamu. Mdalasini hutambulika kwa rangi yake ya kahawia.

FAIDA ZA MDALASINI
KUREKEBISHA UWIANO WA SUKARI MWILINI.

Iwapo mdalasini ukatumika kwenye chakula cha mtu mwenye kisukari inasaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini. Pia kwa wale wenye kisukari aina ya 2 inawasaidia kuboresha uwezo wa kupokea insulini na kuweka sawa viwango vya sukari

KUPAMBANA NA VITENDO VYA KUVUJA DAMU
Kipindi unapopata majeraha mwilini seli hai za kuzuia damu kuvuja hushikana ili kuzuia damu. Kama zitakaza sana damu itaendelea kumwagika, mdalasini husaidia kuzuia kuganda kwa seli hizo

KUONGEZA UFANYAJI KAZI WA UBONGO
Harufu ya mdalasini ni nzuri na iwapo ukainusa basi husaidia kuongeza ufanyaji kazi wa ubongo

KUWEPO KWA MADINI YA CALCIUM NA FIBER HUBORESHA AFYA YA UTUMBO NA KULINDA DHIDI YA MAGONJWA YA MOYO

Mdalasini ni nyanzo za madini ya calcium, fibre na manganese. Vyote ni muhimu inasaidia kuepusha ugonjwa wa kansa ya tumbo

MAGONJWA YA HAJA KUBWA.
Madini ya fibers yalokuepo kwenye mdalasini husaidia mtu anayeharisha au kupata choo kigumu

HUTIBU MAFUA NA KIFUA
Iwapo ukatengeneza chai ya mdalasini pamoja na tangawizi basi itakupa nafuu kama una mafua au kifua

CANDIDA YEAST INFECTION( FANGASI WANAOATHIRI BAADHI YA SEHEMU ZA MWILI IKIWEMO SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAMKE)

Mdalasini umegundulika kuwa ina uwezo wa kuzuia fangasi hao. Inavyosemekana mafuta ya mdalasini hupigana na fangasi wa candida iwapo ukachanganya chai ya mdalasini na mafuta ya magome ya mdalasini pia huongeza kinga mwilini

KUPUNGUZA UZITO
Mdalasini imegundulika inaengeza mzunguko wa damu. Kuengezeka kwa mzunguko wa damu huongeza metabolism na kusaidia mwili kupungua

TIBA YA KUCHUA
Mafuta ya mdalasini ni mazuri katika kupumzisha na kupunguza maumivu ya misuli. Tunashauriwa kupaka mafuta yake wakati wa kuchuliwa, pia unaweza kuweka matone machache kwenye maji ya kuogea kuondoa uchovu na maumivu

FANGASI WA MIGUU
Miguu inanuka au una fangasi kwenye vidole? Mafuta ya majani ya mdalasini yana nguvu ya kuponyesha tatizo hilo. Unaweza ukatumia mdalasini mzima, chai ya mdalasini au mdalasini ya unga ukachanganya na mafuta yake matone machache kisha ukaloweka miguu yako kutoa harufu mbaya au fangasi.

MATATIZO YA MENO NA FIZI.
Mdalasini husaidia kuondoa bakteria bila kuharibu meno au mafizi. Mara nyingi ubani na dawa za mswaki huwa zina mafuta ya mdalasini

HEDHI
Akina mama wanaosumbuliwa na maumivu ya hedhi wanashauriwa kutumia mdalasini ambayo ndani yake kuna madini ya manganese. Imepimwa kuwa ukitumia angalau kwa siku miligramu 2 za mdalasini basi kasi ya maumivu yatapungua.

Pia unaweza kutumia ped za Neplily kutibu maumivu hayo pamoja na kusawazisha tatizo la homoni kutokuwa sawa (hormonal imbalances)

MATIBABU YA MDALASINI

(1) MATATIZO YA MOYO
Badala ya kutumia siagi na jam kwenye mkate pakaza asali na mdalasini ya unga na kula kama kifungua kinywa asubuhi. Inasadikika kuwa husaidia kuepuka kuziba mirija ya damu ya kwenye moyo, mshtuko wa moyo na kujaa mafuta kwenye mirija ya damu

(2) BARIDI YABISI AU KUPOOZA
Pakaza mafuta sehemu iliyoathirika na uchue pole pole. Na fanya chai ya asali na mdalasini na unywe kila siku kupunguza maumivu ya viungo

(3) NYWELE ZENYE KUNYONYOKA

Changanya mafuta ya moto ya zaituni, asali kijiko 1 cha kula na mdalasini ya unga kijiko 1 cha chai pakaza kwenye nywele kaa nayo kwa dakika 15 kisha osha nywele

(4) MAAMBUKIZI YA KIBOFU
Changanya mdalasini ya unga kijiko 1 cha chai, asali 1/2 kijiko cha chai na maji ya uvuguvugu na unywe. Hii husaidia kuondoa bakteria waliokuwepo kwenye mfumo wa mkojo

(5) MAUMIVU YA JINO
Pakaza mchanganyiko wa asali na mdalasini ya unga kwenue jino linalouma

(6) MAFUTA MWILINI
Tia asali na mdalasini ya unga kwenye maji ya moto au chai ya majani ya kijani(green tea) na unywe

(7) MAFUA/KIFUA
Chukua maji ya asali ya moto kiasi (asali ilochanganywa na maji) pamoja na mdalasini ya unga kidogo na unywe inasaidia kuupa mwili kinga zidi ya maradhi hasa kwa kipindi cha baridi

(8) KUVIMBIWA
Tia unga wa mdalasini kiasi kwenye kijiko cha asali na ule kabla hujala kitu hii husaidia kupunguza kiungulia na kuepuka kuvimbiwa
(9) MAISHA MAREFU yasiyo na mardhi

Kawaida tunashauriwa kunywa chai iliyotengenezwa pamoja na asali na mdalasini ya unga kuimarisha kinga ya mwili na kuilinda na bakteria na maradhi mengineyo

(10) CHUNUSI
Changanya asali na mdalasini kisha pakaza sehemu zenye chunusi kabla ya kulala na osha kwa maji ya uvugu vugu siku inayofuata

(11) UZITO WA KUPITILIZA
Kwa kupunguza uzito changanya asali kijiko 1 cha chai pamoja na mdalasini ya unga 1/2 kijiko cha chai pamoja na maji yaliyochemshwa kunywa kila siku asubuhi nusu saa kabla hujala chakula cha asubuhi

(12) HARUFU MBAYA MDOMONI
Sukutua maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na asali na mdalasini ya unga ili kufanya kinywa kisiwe na harufu mbaya

(13)Gesi Kunywa kijiko cha chai cha unga wa mdalasini ukichanganya kwenye maji moto na kijiko kikubwa cha asali
Ukiachana na asali na mdalasini kutumika kama tiba za asili pia tunashauriwa tupike vyakula vyenye kuchanganywa mdalasini na asali.

Mafuta ya mdalasini utapata kwenye maduka ya dawa za asili.

Dr Liwaya
Tiba Asilia
Tanzania

+255755162724

+255717541527

Asante.

UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS)

VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS)_*


Nini maana ya vidonda vya tumbo?
Ni vidonda vilivyo wazi ambavyo hutokea katika kuta za tumbo,sehemu ya juu ya utumbo mdogo au kwenye kuta za koromeo kutokana na bacteria waitwao H.pylori na asidi inayozalishwa kwenye kuta za tumbo.
Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine kama kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito. nk


CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO
⤵⤵⤵⤵⤵⤵
Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ila vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

Ø Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
Ø Matumizi ya mara kwa mara ya dawa za kupunguza maumivu kama asprin(bayer), (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
Ø Msongo mawazo (stress)
Ø Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
Ø Kunywa pombe na vinywaji vikali kupitiliza.
Ø Uvutaji wa sigara.
Ø Kuto kula mlo kwa mpangilio maalumu
Ø Kansa ya tumbo

KUNA AINA TATU YA VIDONDA VYA TUMBO.

1⃣ VIDONDA NDANI YA TUMBO.(GASTRIC ULCERS)
Hivi ni vidonda ambavyo hutokea ndani ya tumbo,kwenye kuta za tumbo.

2️⃣ VIDONDA NDANI YA KOO (ESOPHAGEAL ULCERS)
Hivi ni vidonda ambavyo hutokea ndani ya koo la chakula,kwenye kuta za koo la chakula.

3️⃣ VIDONDA KATIKA UTUMBO MDOGO (DUODENAL ULCERS)
Ni vidonda ambavyo katika sehemu ya juu ya utumbo mdogo uitwao duodenum
📎 NI KWA NAMNA GANI BACTERIA (H.pyori) Husababisha vidonda vya TUMBO

⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵

-Bacteria, Helicobacter pylori/Campilobacter pylori anaweza kusafiri kutoka kwa mtu Mmoja kwenda kwa mwingine kupitia njia zifuatazo:
⤵⤵⤵

(a).📎Kupitia mate (kunyonyana midomo)
(b).📎Kupitia matapishi.
(c).📎 Kupitia kinyesi
(d).📎Kupitia chakula ama maji yaliyokuwa na bacteria hawa.

SABABU ZINAZOWEZA KUPELEKEA MTU KUAMBUKIZWA BACTERIA HAWA (H.pylori)

⚫ Kuishi mazingira yenye mikusanyiko mkubwa wa watu bila kuchukua tahadhar.
⚫ Kunywa maji yasiyokuwa safi.
⚫ Kula vyakula visivyooshwa mfano matunda na Mboga za majani.
⚫ Kuishi karibu na mtu mwenye vidonda vya tumbo bila kuchukua tahadhar.

H.pylori anapoingia katika mwili wa binadamu huathiri uzio mwenye kulinda ukuta wa tumbo na utumbo mdogo (protective mucous) hali hii hupelekea kudhoofika kwa kuta katika tumbo na utumbo mdogo. Ukuta huu unapodhoofika husababisha Tindikali (Asidi) inayozalishwa tumbo kuunguza na kuuchimba ukuta wa tumbo pia Bacteria hawa huchimba ukuta wa tumbo na KUSABABISHA kutokea vidonda katika ukuta wa tumbo na vidonda hivi ndivyo tunavyoviita vidonda vya TUMBO kwasababu vipo tumboni (Gastric Ulcers)

⚫ Bacteria huyu haathiriwi na Acid ya tumboni ( Hydrochloric acid~HCL) kwasababu ana uwezo wa kuzalisha kimeng`enya (Urease enzyeme) ambayo huungana na UREA kuzalisha Ammonia ambayo huungana na Acid ya tumboni (HCL) kuzalisha Maji na Ammonium Chloride ambayo haina uwezo wa kumuathiri huyu Bacteria. Hivyo bacteria huyu huzidi kujilinda kwa namna hii Mpaka hufikia hatua ukuta wa tumbo huchimbwa zaid na huyu Bacteria huzid kuingia ndan zaid ya tumbo ambapo acid hushindwa kumuathiri na hali hii husababisha vidonda vya TUMBO kuzid na KUSABABISHA mgonjwa kuwa na hali mbaya zaid.

⚫ Huyu Bacteria huathiri zaid kwa pamoja na Acid ya tumbo na hufikia hatua mgonjwa huweza kupata Kansa ya tumbo/Kansa ya Utumbo mdogo.


.📎 NI KWA NAMNA GANI MATUMIZI YA MARA KWA MARA YA DAWA ZA KUPUNGUZA MAUMIVU KAMA Aspirin(Bayer),(NSAIDs),(Advil,Aleve nk) HUWEZA KUSABABISHA VIDONDA VYA TUMBO?

⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵⤵

-Katika mwili kimeng’enya kiitwacho Cyclooxygenase( COX) ambacho hupatikana sehemu mbalimbali kama vile kwenye mishipa ya damu,misuli nk.COX Hufanyakazi ya kuzalisha hormone iitwayo Prostaglandins ambazo kazi yake kubwa ni kuzalisha uteute ambao hufunika kuta za tumbo na utumbo mdogo kwaajili ya kukinga kutokana na madhara ya Acid ya tumbo na bacteria mbalmbali .

Haya Madawa ya kutuliza maumivu yanapotumika mara kwa mara hupelekea kuzuia uzalishaji wa kimeng’enya Cyclooxygenase (COX) hivyo hali hii husababisha kutozalishwa kwa Prostaglandins na kupelekea kupatikana udhaifu katika ukuta wa tumbo na matokeo yake husababisha urahisi wa tumbo kushambuliwa na Bacteria pamoja na Acid ya tumboni (HCL).

Hivyo kutumia mara kwa mara madawa ya kutuliza maumivu si salama kwa afya yako.


KWANINI MAZIWA/CREAM SIO RAFIKI KWA MGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO*??

Jawabu
⤵⤵⤵⤵⤵⤵
⚫ Maziwa yana kiasi kingi cha madini ya Calcium (Ca),madini haya huchochea uzalishwaji wa acid kwa wingi tumboni,hali hii hupelekea vidonda kuchimbika zaidi na baadae husababisha hali kuwa mbaya zaid kwa mgonjwa.

⚫ Wengi wakitumia maziwa hupata naafuu ya muda kwasababu ya ile hali ya maziwa kuvifunika vidonda kwa muda na baada ya hapo hali huwa mbaya.Hivyo maziwa si salama kabsa kwa wagonjwa wa vidonda vya TUMBO.

⚫ Hapo zamani madaktari walikuwa wakishauri maziwa kwa mgonjwa wa vidonda vya TUMBO lakin tafiti zinaonesha kwamba maziwa si salama kabsa kwa mwenye vidonda vya tumbo, ukiona daktari anakupa USHAURI huu basi huenda akawa hajui ama hajafikiwa na tafiti za wakati huu.
VYAKULA AMBAVYO SI RAFIKI KWA MGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO

⚫Pombe
⚫Kahawa
⚫Maziwa/Cream
⚫ Nyama yenye mafuta mengi
⚫ Vyakula vilivyokaangwa(kwa mafuta mengi)
⚫ Vyakula vyenye viungo vingi
⚫ Vyakula vyenye chumvi nyingi
⚫ Vyakula vyenye acid kama vile Malimao,ndimu nk
⚫ Nyanya pamoja na bidhaa zake.
⚫ Chocolate
⚫ Vyakula vikavu
⚫ Vyakula vyenye gesi nyingi kama maharage,maziwa nk.


KWANINI BAADHI YA WATU WAKINYWA MAZIWA HUHARISHA??

Jawabu
⤵⤵⤵⤵⤵

⚫ Kuna baadhi ya watu miili yao haina uwezo wa kukamilisha mmeng’enyo wa Sukari aina ya Lactose katika maziwa na bidhaa za maziwa.Hali hii huitwa Lactose intolerance. Kushindwa kukamilisha mmeng’enyo wa Lactose hupelekea mwenye hali hii Kuharisha,tumbo,tumbo kuuma,kichefuchefu,tumbo kujaa gesi na Kivimbiwa baada ya kula ama kunywa bidhaa zinazotokana na Maziwa (Diary products). Hali hii pia huitwa lactose malabsorption.

Lactose intolerance ina aina nne,ambazo ni⤵
1.📎Primary Intolerance
2.📎Secondary intolerance
3.📎Developmental intolerance
4.📎Congenital intolerance

⚫ Hivyo, hali hii haina maana kwamba mwenye vidonda vya tumbo ndio hupata bali INAWEZA kumtokea yeyote ambae mwili wake una uwezo mdogo wa kukamilisha mmeng’enyo wa Sukari (Lactose) inayopatikana kwenye maziwa na bidhaa.
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

⚫Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na kuendelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vina dalili kama:⤵⤵⤵

1.📎 Kupata maumivu ya tumbo ya kuwaka moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
2.📎 Kupatwa na kiungulia(heartburn) karibu na chembe ya moyo
3.📎 Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
4📎 Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
5.📎 Kupata haja kubwa ya rangi ya kahawia au nyeusi cheenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
6.📎 Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
7.📎 Kushindwa kupumua vizuri.
8.📎Kuharisha hasa unapokula vyakula vinavyochochea vidonda vya TUMBO.
9.📎Kupata choo kigumu kama cha mbuzi
10.📎 Maumivu ya mgongo
11.📎 Tumbo kuwaka moto.
12.📎 Kupungukiwa damu na kupelekea kupata kizunguzungu.
13.📎 Mwili kudhoofika na kupungukiwa kilo
14.📎 Dhakari(Uume) kulegea/kusinyaa na kushindwa kuhimili tendo la ndoa.
15.📎Mapigo ya moyo kwenda mbio.
16.📎 Macho kupunguza nguvu ya kuona vizuri.


UFANYEJE ILI KUTATUA TATIZO LA VIDONDA VYA TUMBO.


Ili mtu atumie dawa ya vidonda vya TUMBO na kupona anatakiwa kuzingatia yafuatayo:⤵⤵

1.📎 Apate dawa sahihi (yenye uwezo wa kutibu vidonda vya TUMBO)

2.📎 Ajiepushe na vichochezi vya Vidonda vya TUMBO.vichochezi hivyo ni kama vile⤵
-Msongo wa mawazo (Stress)
-Vyakula visivyokuwa rafiki kwa mwenye vidonda vya tumbo basi. Hapo utakuwa umemaliza shida ama kulipunguza kwa kiasi kikubwa.

Dr. LIWAYA
Tiba Asili Tanzania.
Simu.0755162724.

UGONJWA WA UVIMBE KWENYE KIZAZI

FIBROID NI NINI?

Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la huu ugonjwa hebu tega sikio.
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.

Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana kama ‘uterine myoma’ au fibroid. Uvimbe huu hutokea kwenye misuli laini ya mfuko wa uzazi.Uvimbe huu hutokea katika sehemu mbalimbali juu au ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke.

Ni uvimbe ambao hauhusiani na kansa na unaweza kubadilika rangi ukawa wa njano, unaweza kubadilika ukawa kama maji tu na kurudi tena kuwa mgumu.Uvimbe kwenye kizazi hujulikana pia kwa majina haya kitaalamu: ‘Uterine fibroids’, ‘Myoma’ au ‘fibromyoma’.

Hujulikana pia kama ‘leiomyoma’ katika lugha ya kidaktari. Wanawake wenye umri kati ya miaka 30 hadi 50 ndiyo wanapatwa kirahisi zaidi na ugonjwa huu.

SABABU ZA MWANAMKE KUPATA UVIMBE KWENYE KIZAZI

Chanzo cha moja kwa moja cha ugonjwa huu bado hakijulikani wazi, hata hivyo baadhi ya sababu za kutokea huu uvimbe ni pamoja na;

  1. 📎Kuongezeka sana vichocheo vya progesterone na estrogen kuzidi kiwango mwilini.
    2.📎 Ujauzito.
    3.📎 Uzito/ unene kupita kiasi.
    4.📎 Jenetiki zisizo za kawaida.
    5.📎 Mfumo usio sawa wa mishipa ya damu.
    6.📎 Sababu za kurithi.
    7.📎 Lishe isiyo sawa/Lishe duni.
    8.📎Sumu na taka mbalimbali mwilini.

AINA ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI
Kuna aina kuu 3 za uvimbe kwenye kizazi kama ifuatavyo:

1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)

2.Intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)

3.Subserosal(nje ya kizazi)

WAFUATAO WAPO HATARINI KUPATA UVIMBE KWENYE KIZAZI(UTERINE FIBROID)
1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa
2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma
3.kurithi
4.Unene/uzito kupita kiasi
5.kuingia hedhi mapema

Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu waga unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto.
Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam leomyoma.

DALILI ZA MWANAMKE MWENYE UVIMBE KWENYE KIZAZI (UTERINE FIBROIDS):

1.🖇️Kupata damu nyingi wakati wa hedhi.

  1. 🖇️Maumivu makali wakati wa siku za hedhi.
  2. 🖇️Kuvimba miguu.
  3. Unaweza kuhisi una ujauzito.
  4. 🖇️Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
  5. 🖇️Kuhisi kuvimbiwa.
  6. 🖇️Kupata haja ndogo kwa taabu.
  7. 🖇️Kutokwa na uchafu ukeni.
    9.🖇️ Kupata choo kigumu au kufunga choo.
    10.🖇️ Maumivu nyuma ya mgongo.
  8. 🖇️Maumivu katika miguu ikiwa ni pamoja na miguu kuwaka moto.
    12.🖇️ Upungufu wa damu.
    13.🖇️ Maumivu ya kichwa.
    14.🖇️ Uzazi wa shida.
    15.🖇️ Kutopata ujauzito.
    16.🖇️ Kuvimba sehemu ya chini ya tumbo.
    17.🖇️ Maumivu ya nyonga.
    18.🖇️ Mimba kutoka mara kwa mara (miscarriage).
    19.🖇️ Kukojoa mara kwa mara kwan uvimbe huweka mgandamizo katika kibofu cha mkojo
    20.🖇️ Hedhi zisizokuwa na mpangilio

MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUPONA HARAKA UVIMBE KWENYE KIZAZI

  1. 📎Hakikisha una uzito sawa kila mara kulingana na urefu wako.
  2. 📎Kula sana mboga za kijani na matunda
  3. 📎Fanya mazoezi ya viungo kila mara, mara 4 mapaka 5 kwa wiki
  4. 📎Kunywa maji mengi kila siku lita mbili mpaka lita tatu
  5. 📎Kula sana vyakula vyenye nyuzi nyuzi (faiba) na punguza vyakula vyenye mafuta
  6. 📎Usitumie bidhaa zozote zenye kaffeina (chai ya rangi, kahawa, soda nyeusi zote nk), nyama nyekundu na vyakula vya kuchomwa au kupikwa katikati ya mafuta mengi (maandazi, chipsi, nk)
  7. 📎Achana kabisa na mawazo mawazo (stress) na hamaki nyingine zozote
  8. 📎Acha kuvuta sigara/tumbaku na vilevi vingine vyote hadi hapo utakapopona kabisa

MATIBABU/TIBA ASILI KWA UVIMBE KWENYE KIZAZI.

Tiba asili ndio njia salama na rahisi katika matibabu ya uvimbe kwenye kizazi endapo mgonjwa atafuata ushauri na matumizi sahihihi ya dawa.

Zipo dawa asili zenye ufanisi mkubwa sana katika kutibu uvimbe kwenye kizazi, Mfano ni dawa hizo ni FIBROCYST SOLUTION nk hii ni dawa yenye uwezo mkubwa sana katika kutibu uvimbe kwenye kizazi.

Wasiliana nami kwa Ushaur, matibabu na miongozo mbali mbali ya kitabibu:

Dr.Liwaya
Tiba asili
Tanzania

+255755162724
+255717541527
muhammadliwaya@gmail.com

Au bofya link itakuleta moja kwa moja WhatsApp kwa maelezo zaidi

https://wa.me/message/C624EOD67YBMP1

UGONJWA WA BAWASIRI NA TIBA YAKE.

UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI, AINA ZAKE, CHANZO, DALILI ZAKE NA TIBA YAKE ASILIA.


Bawasiri katika mzunguko wa tundu la njia ya haja kubwa

Ugonjwa huu wa bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa. Ugonjwa huu katika jamii hufahamika kwa majina tofauti tofauti hutegemea kabila na mahali.

Ugonjwa huu umekua ni ugonjwa hatari kutokana na tabia za wagonjwa kuficha kutokana na aibu ya tatizo lenyewe lilipo au kuhofia jamii kumtazama tofauti kwa sababu jamii nyingi hasa za afrika mashariki zinaamini kuwa ugonjwa huu ni mkosi mkubwa.

Kuna aina kuu mbili za bawasiri :
1. Bawasiri ya nje
2.Bawasiri ya ndani.
Bawasiri hii ya ndani ndio bawasiri mbaya kabisa kwa sababu ni vigumu mgonjwa kujitambua kua anatatizo na hii inatokana na tabia ya bawasiri yandani kutokua na maumivu wakati inaanza.

SABABU ZINAZOPELEKEA MTU KUPATA BAWASIRI

Ugonjwa huu wa bawasiri husababishwa na mambo yafuatayo;

(1) Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
(2) Tatizo sugu la kuharisha
(3) Ujauzito
(4) Uzito wa mwili kupita kiasi
(5) Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
(6) Kupata haja kubwa ngumu
(7) Kua na mgandamizo mkubwa tumboni.

Bawasiri iliyotokeza nje katika mzunguko wa tundu la njia ya haja kubwa

ATHARI ZA BAWASIRI
* Upungufu wa damu mwilini
* Kutokwa na kinyesi bila kijitambua
* kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
* kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
* kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
* Kupata tatizo la kisaikolojia

wa.me/255755162724

NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI

* Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
* kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
* Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
* Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.

AINA ZA BAWASIRI

{1}BAWASIRI YA NDANI
~hii hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili
~Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa
Aina hii ya bawasiri imegawanyika katika madaraja manne

DARAJA LA KWANZA ~Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pake pa kawaida.
DARAJA LA PILI ~hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kujisaidia
DARAJA LA TATU ~hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe
DARAJA LA NNE ~hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi

[2}BAWASIRI YA NNJE
~Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS

CHANZO CHA TATIZO LA BAWASIRI
~Ugonjwa huu wa bawasiri mpaka sasa chanzo chake hasa hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo na hukuweka katika hatari ya kupata tatizo hili
~KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
~TATIZO SUGU LA KUHARISHA
~UJAUZITO
~UZITO MKUBWA
~MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU
~KUPATA KINYESI KIGUMU KWA MUDA MREFU

DALILI ZA BAWASIRI
kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
kupata kinyesi chenye damu
kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA WA BAWASIRI
~ matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri, mara nyingi wagonjwa wa bawasiri hupatiwa tiba ya kukatwa kinyama na kushauriwa kuendelea na tiba ya vyakula Lakini tiba huwa haina matokeo mazuri kwasababu baada ya Muda tatizo hujirudia kutokana na kwamba hawajatibu chanzo cha tatizo hivyo tiba nzuri ya bawasiri ni kutumia dawa itakayotibu chanzo cha tatizo huku ukiendelea na tiba ya chakula, MFANO MZURI WA DAWA NI bawasiri fluid na bawasiri powder hizo zinatibu na kuondoa tatizo moja kwa moja kwa muda wa wiki mbili tu hata kama ulishawahi kufanyiwa upasuaji hivyo ni vizuri kutumia dawa hizo ili kumaliza tatizo pamoja na hayo ni
vyema ukazingatia mambo yafuatayo ili KUEPUKANA na ugonjwa wa bawasiri

ZINGATIA KANUNI YA CHAKULA BORA KWA KUPENDELEA KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA NA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA
KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GLASI SITA HADI 12 KWA SIKU
EPUKA KUTUMIA MUDA MREFU CHOONI

MADHARA YA BAWASIRI
~Ugonjwa wa bawasiri una madhara makubwa iwapo hautapatiwa tiba ya uhakika haya ni baadhi ya madhara ya bawasiri
KUPATA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
KUPATA TATIZO LA KUSHINDWA KUHIMILI KINYESI
HUPUNGUZA MORAL YA KUFANYA KAZI KUTOKANA NA MAUMIVU
HUATHIRI KISAIKOLOJIA
MWANAMKE HUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA
KUPATA KANSA YA YTUMBO

.✍ hayo ni mambo ya msingi sana kuyajua kabla ya kujua tiba

KWA MAHITAJI YA DAWA ASILI ILIYOKWISHAANDALIWA YENYE KUONDOSHA BAWASIRI MOJA KWA MOJA KWA UWEZO WA MWENYEZI MUNGU WASILIANA NAMI KWA MAWASILIANO YANGU HAPO CHINI

DAWA UTATUMIWA POPOTE ULIPO PIA DAWA UTAIPATA KWA BEI NAAFUU KABISA HUNA HAJA YA KUFANYIWA OPERESHENI YA BAWASIRI KWANI MARA NYINGI BAWASIRI HURUDI TENA PINDI INAPOFANYIWA OPERESHENI..

NB: Bawasiri humpata MTU yeyote katka umri wowote

wa.me/255755162724

Liwaya
Dar es salaam
Ilala-pangani

+255755162724
+255717541527

Karibuni..

Design a site like this with WordPress.com
Get started